Tengeneza website ya biashara yako Tanzania
MPLINK Web inabuni na kutengeneza tovuti (website) kwa biashara, kampuni, taasisi na mashirika nchini Tanzania. Unapata domain yako mwenyewe, hosting salama, barua pepe za kitaalamu na website inayoonekana vizuri kwenye simu na kompyuta.
Wateja wengi hutafuta mtandaoni kabla ya kukutembelea au kukupigia simu. Website nzuri inaonyesha huduma zako, bei, mahali ulipo na namba yako ya WhatsApp, na inakufanya uaminike.
Unaomba mtandaoni, unalipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, HaloPesa au benki, na unafuatilia maendeleo kupitia ukurasa wako binafsi. Unapata risiti kwa kila malipo.
Unapata nini?
Domain yako mwenyewe
Anwani kama jinalabiashara.co.tz inayoaminika na wateja.
Hosting salama
Kufuli ya HTTPS ili wageni na Google wakuamini.
Barua pepe za kitaalamu
Startup inakuja na barua pepe 7, Modern 20, Premium bila kikomo.
Inafaa kwenye simu
Inapakia haraka na inaonekana vizuri kwenye skrini zote.
Inapatikana Google
Tunaweka misingi ya SEO ili watu wakupate.
Bei na malipo wazi
Startup: lipa yote mara moja. Modern: 1,000,000 mwanzoni na salio ukimaliza. Premium: 50% mwanzoni, 25% kazi ikiendelea, 25% baada ya kumaliza.
Vifurushi vyetu
Premium Website
TZS 4,000,000
mara moja, pamoja na duka la mtandaoni
Kuhuisha: TZS 750,000 kwa mwaka
Chagua Premium WebsiteMaswali yanayoulizwa mara nyingi
Startup ni TZS 750,000 kwa mwaka wa kwanza kisha 250,000 kila mwaka. Modern Website ni TZS 1,500,000 (kuhuisha 400,000 kwa mwaka). Premium Website yenye duka la mtandaoni ni TZS 4,000,000 (kuhuisha 750,000 kwa mwaka).